Common Voice ni mpango wa Shirika la Mozilla Foundation wa kupunguza upendeleo katika AI, kwa kufanya teknolojia ya usemi kuwa ya kidemokrasia kwa kila mtu!
Pata maelezo zaidi kuhusu Common Voice na jinsi unavyoweza kushiriki leo!
Tunaongeza wanatimu! Angalia kazi za Shirika ili uone nafasi za kazi.