*Faragha Haijajumuishwa
Mwongozo wetu wa mnunuzi wa bidhaa zilizounganishwa unakaridia faragha na usalama wao wa kuhifadhi data yako. Unasaidia watumiaji kufanya maamuzi sahihi zaidi na inawahimiza wazalishaji waweke bidhaa zao salama zaidi.
Majuto ya YouTube
AI inayopendekezwa na YouTube ni yenye nguvu lakini inaweza kuwa na madhara, na kupendekeza maudhui ya uongo ili iongeze muda wa kutazama. Baada ya kampeni zetu, jukwaa lilikiri hadharani tatizo lake na tulikutana ili tupate masuluhisho.
#DearInternet
2020 ulikuwa mwaka tofauti na mwaka mwingine wowote. Tuliuliza jinsi mtandao umekuwa ukikusaidia kutulia wakati huu usio wa kawaida na zaidi ya maelfu ya watu walijibu! Haya ndiyo uliyosema.
Ushirika wa Mozilla
Inashughulikia mada na nyanja mbalimbali ndani ya dhamira pana ya Mtandao wenye Maadili Mema, huklu ikizingatia kwamba mtandao inaleta mambo mema.
Tuzo za Mozilla
Inasaidia waelimishaji, wasanii, wanateknolojia, na wavumbuzi wa kila aina waliojitolea kufanya mtandao iwe bora kwa ajili ya jamii zao na sisi sote.
Tamasha la Mozilla
Tamasha hili la kila mwaka hukutanisha maelfu ya watu wenye fikra sawa kote duniani.
Nafasi ya Majaribio ya Data
Nafasi ya majaribio ya kuchochea mbinu mpya ya kushughulikia changamoto za data.
Jifunze mambo mengi zaidi kuhusu Nafasi ya Majaribio ya Data →
Tengeneza ajenda
Intaneti ni mfumo mkubwa wa ikolojia. Utafiti wa Mozilla — kutoka kwa Ripoti yetu ya Mtandao wenye Maadili Mema kila mwaka hadi karatasi zetu nyeupe — inafafanua mambo. Tunachunguza vitisho vya mtandao wenye maadili mema, kutoka kwa mlipuko wa ufuatiliaji wa mtandaoni, kuongeza kufungwa kwa mtandao, hadi ujio wa mambo bandia. Lakini pia tunaangazia mambo mazuri na tunatoa masuluhisho, kutoka kwa data wazi hadi mashirika yenye mitandao ya kijamii.
Utafiti wa Mozilla, kama bidhaa zake, ni ya watu wote. Imejengwa kwa maoni ya wataalamu wanaotoka kote ulimwenguni. Na watu wengine wanaweza kuchapisha upya, kuchanganya, na kutumia bila malipo katika kampeni zao wenyewe na mitaala.
Accelerating Progress Toward Trustworthy AI
Status update on our 2020 paper “Creating Trustworthy AI” and next steps to promote openness, competition, and accountability in AI.
Ripoti ya Maadili ya Mtandao
Tunatumia taswira ya data na ripoti ya awali kufuatilia njia mtandao unasaidia — na kudhuru — watumiaji duniani kote.