Tunataka Kila Mtu Aweze Kutumia Voice AI kwa Urahisi.
Hatuzungumzii kwa lugha moja na sisi sote tunahitaji kusikilizwa. Mradi wa Sauti ya Jamii ni Mpango wa Mozilla wa kuboresha teknolojia ya kutambua sauti za watu wote, kwa kukusanya data katika lugha nyingi, kwa uwazi.
Mtandao wa Intaneti unaanza na sisi
Kwa kutia saini kwenye maombi, kuchangia katika mradi au kuhudhuria tukio, watu wanaweza kuokoa mtandao wa Intaneti. Hapa kuna njia za kujihusisha.

Pata Tiketi ya MozFest 2023
Nunua tiketi yako ya MozFest ili uhudhurie tukio kubwa zaidi la mtandaoni la Mozilla Foundation la mwaka. Tiketi zinapatikana sasa!
Linda tiketi yako
*Faragha Haijajumuishwa
Spika mahiri, vifuatiliaji vya mazoezi ya mwili, kamera za usalama na vipokea sauti vinavyobanwa kichwani visivyotumia waya ni vyema. Je, zana hizo pia ni za kutisha? Angalia faragha na usalama wa bidhaa kabla ya kuzinunua.
* Mwongozo wa Faragha Haijajumuishwa
TikTok Inawapotosha Watumiaji wa Android
Katika App Store ya Google, TikTok ilidai kuwa haishiriki data yako na wahusika wengine. Utafiti wetu unaonyesha kuwa inashiriki.
Tia saini kwenye ombiKama unaweza, utatoa leo?
Watu kama wewe hutusaidia kuhakikisha kwamba watu wote wanapata mtandao unaozingatia maadili mema. Changia ili watu wote waendelee kufikia mtandao tena bila malipo.

Ongeza jina lako: Ambia Slack kwa kuandika #BlockAbuse
Hakuna mtu anayepaswa kulazimishwa kutumia zana inayoweza kumnyanyasa na kumsumbua kwa urahisi, lakini makumi ya mamilioni ya watu hutumia zana ya mazungumzo ya Slack kila siku – na Slack haina njia ya kuzuia ujumbe wa matusi.
Tia saini kwenye ombi
Tukiwa na Teknolojia Kubwa Tunakua pia na...
Tukiwa na Teknolojia Kubwa Tunakua pia na Wajibu Mkubwa ni mwongozo wa mwanafunzi wa kutambua masuala ya kimaadili katika sekta ya teknolojia.
Soma mwongozo
Hulu: Ni Wakati wa Kufichua Matangazo
Hulu haitoi aina yoyote ya zana za uwazi ili watafiti wachunguze matangazo yake. Tusaidie kuambia Hulu itoe hifadhi ya nyaraka ya matangazo haraka iwezekanavyo.
Hulu: Ni Wakati wa Kufichua MatangazoEneza ujumbe
Ili tuwe na maadili mema ya mtandao, tunahitaji watu. Shiriki kazi ya Mozilla na marafiki zako ili tukue.

Kuwa Mshirika
Ushirika wa Mozilla unasaidia kazi ya viongozi na watengenzaji duniani kote. Maadili mema ya mtandao yanahusu sera, sayansi, sanaa, usalama na muhimu zaidi, watu. Ushirika hupea watu ambao kazi yao ni kuhakikisha usalama wa mtandao rasilimali, mafunzo na uhusiano wa maisha.

Kusherehekea MozFest
Kuokoa mtandao kunahitaji kazi na sherehe. MozFest ni mkutano wa kila mwaka wa Mozilla wa kushiriki, kutengeneza, kufundisha na kujifunza kazi muhimu inayofanyika duniani kote kwa ajili ya Maadili mema ya mtandao. Kwa mazungumzo, maonyesho na burudani tunasherehekea mtandao unaoweza kufikiwa na watu wote.