Blogu

Common Voice

Common Voice ni mradi wa kusaidia kufanya utambuzi wa sauti uwe wazi kwa kila mtu. Watengenezaji wa programu wanahitaji kiasi kikubwa cha data ya sauti ili kujenga teknolojia za kutambua sauti, na kwa sasa data nyingi ni ghali na ziko chini ya ulinzi wa hakimiliki. Tunataka kufanya data sauti uhuru na hadharani, na kuhakikisha data inawakilisha utofauti wa watu halisi. Pamoja tunaweza kufanya utambuzi wa sauti kuwa bora kwa kila mtu.