Blogu

Ushirika na Blogu ya Tuzo

Ushirika wa Mozilla unashughulikia mada mbalimbali na taaluma ndani ya ujumbe kuhusiana na mtandao ulio na faragha, uwazi na ushirikishwaji wa wote, ukizingatia mtandao kama chombo cha kuleta wema.

Tuzo ya Mozilla inasaidia walimu, wasanii, wanateknolojia na wavumbuzi wote wanaojitolea kufanya mtandao uwe bora kwa jumuiya zao na sisi sote.