Common Voice
Mozilla’s blog features guides to making your online life better, stories from the movement, and critical analysis of issues around internet health.
-
-
Common Voice Sep. 14, 2022
Common Voice kwa Kila Mtu: Kuwezesha Uchangiaji wa Data ya Sauti katika Mazingira Hafifu ya Mtandao - Mozilla inakuza ujumuishaji wa jukwaa na NVIDIA Common Voice
Boti ya gumzo ya Telegram inayowezesha michango ya sauti na programu ya Android inayoweza kutumika nje ya mtandao — Miradi miwili iliyotengenezwa na wanateknolojia wa sauti kutoka Ethiopia na Italia inafanya mfumo wa Common Voice wa Mozilla kufikiwa zaidi kwa wale walio katika mazingira hafifu ya mtandao au yasiyo na mtandao.
Mozilla