Blogu

Blogu ya Utetezi

Mtandao wenye afya (mtandao wenye faragha, ufumbuzi na ushirikiano) unahitaji jumuiya hai, ya kimataifa. Kazi ya utetezi ya Mozilla inawaleta watu pamoja kutoka ulimwenguni kote kuelimisha na kupigania faragha, ujumuishaji, kusoma na kuandika, na kanuni zote za mtandao wenye afya. Mtandao wenye afya unasaidia sauti za watu, ikiwa ni pamoja na wewe.