Kile tunachofadhili

Ufadhili na rasilimali kwa ajili ya mtandao unaozingatia binadamu zaidi.

Kujifunza

Ukurasa wetu wa Kujifunza ni jukwaa ambapo tutashiriki maarifa na nyaraka kutoka kwa Ushirika wa Mozilla na mpango wa Tuzo. Rudi tena mara kwa mara ili ujifunze zaidi kuhusu jinsi mipango yetu imeathiri na kusaidia kuunda mtandao wa intaneti wenye maadili mema, jinsi jamii yetu imekua na mahali ambapo tunachunguza jinsi ya kufanya mambo kwa njia tofauti. Usisite kutuma maswali na maoni kwa [email protected]

Tunachojifunza

Tathmini za programu

Ushirika wa Mozilla na Tathmini ya Mpango wa Tuzo na Ufafanuzi wa Athari

Tathmini ya mkakati wa programu na athari kuanzia mwaka wa 2016 hadi katikati ya 2020.

Soma ripoti →

Tathmini ya Athari za Mpango ya MOSS (2015-2020)

Imeandaliwa NA Wafanyakazi wa Moss kwa kushirikiana na Simply Secure. Hili ni toleo fupi la matokeo ya tathmini ya MOSS, ambayo yameandaliwa kwa ajili ya umma.