Kujifunza
Ukurasa wetu wa Kujifunza ni jukwaa ambapo tutashiriki maarifa na nyaraka kutoka kwa Ushirika wa Mozilla na mpango wa Tuzo. Rudi tena mara kwa mara ili ujifunze zaidi kuhusu jinsi mipango yetu imeathiri na kusaidia kuunda mtandao wa intaneti wenye maadili mema, jinsi jamii yetu imekua na mahali ambapo tunachunguza jinsi ya kufanya mambo kwa njia tofauti. Usisite kutuma maswali na maoni kwa [email protected]
Tunachojifunza
-
Ushirika na Tuzo Julai 18, 2022
Fellowship Learnings: The Importance of Sustainability
This is our third installment in a series reflecting on Mozilla’s Tech + Society Fellowship, a program which launched in October 2020. The program embeds technologists from the global majority within local civil society organizations, in order to bridge two worlds that have traditionally been siloed.
Roselyn Odoyo na Amy Schapiro Raikar
Ushirika wa Mozilla na Tathmini ya Mpango wa Tuzo na Ufafanuzi wa Athari
Tathmini ya mkakati wa programu na athari kuanzia mwaka wa 2016 hadi katikati ya 2020.
Tathmini ya Athari za Mpango ya MOSS (2015-2020)
Imeandaliwa NA Wafanyakazi wa Moss kwa kushirikiana na Simply Secure. Hili ni toleo fupi la matokeo ya tathmini ya MOSS, ambayo yameandaliwa kwa ajili ya umma.