Kile tunachofadhili

Ufadhili na rasilimali kwa ajili ya mtandao unaozingatia binadamu zaidi.

Washirika

Mozilla inaamini kuwa sisi sote tunahitaji kuelewa na kulinda maadili mema ya intaneti - yanayojumuisha desturi za faragha, uwazi na ujumuishaji. Kwa lengo hilo, shirika la Mozilla Foundation linashirikiana na mashirika mengine ili kuchochea harakati za watumizi wa mtandao, wasomi, wataalamu wa teknolojia, viongozi maarufu kimawazo, na wanaharakati kupigania mtandao unaozingatia maadili mema kwa ajili ya vizazi vijavyo. Kupitia mipango yetu ya ushirika na tuzo, tunalenga kuwawezesha watu na mawazo ya ujasiri yanayoweza kuunda mtandao unaozingatia binadamu zaidi.

Shirikiana Nasi

Je, wewe ni mfadhili anayetaka kukuza teknolojia kwa ajili ya umma?
Unga mkono kazi yetu →

Je, wewe ni shirika la kiraia linalotetea mtandao ambao watu wote wanaweza kufikia?
Karibisha Mshirika →

kiputo cha usemi

Jifunze zaidi kuhusu fursa hizi za ushirikiano kwa kuwasiliana nasi kupitia [email protected]

Washirika Wanaotufadhili

Mozilla inashirikiana na taasisi, wawekezaji na mashirika mengine ili kubuni, kujenga na kuzindua mipango yetu ya uhisani kwa ushirikiano. Pamoja, tumetoa zaidi ya dola milioni 20 za Marekani kwa ajili ya fedha za tuzo na tumesaidia takriban Washirika 200 binafsi tangu mwaka wa 2015.

Nembo ya mtandao wa Omidyar
Nembo ya Schmidt Futures
Nembo ya Ford Foundation
Nembo ya Internet Society
Nembo ya Craig Newmark Philanthropies
Nembo ya coil
Nembo ya Siegel Family Endowment
Nembo ya Open Society Foundations
Bendera ya Umoja wa Ulaya
Nembo ya Mozilla
luminate-logo
Nembo ya Helmsley
nembo ya mellon foundation

Mashirika yanayowakaribisha washirika

Kila mwaka, baadhi ya Washirika wa Mozilla hukutana katika "shirika linaloandaa tukio", mashirika yasiyo ya faida na asasi za kiraia zinazotetea mtandao huria ambao watu wote wanaweza kufikia. Washirika na mashirika wenyeji hushirikiana katika kupigania haki za kidijitali.

Nembo

Mashirika yaliyoandaa matukio ya kuwaleta washirika pamoja hapo awali

Katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, ushirika umeshirikiana na mashirika kadhaa iliyoandaa matukio duniani kote na katika sekta zote, ikiwa ni pamoja na American Civil Liberties Union, Amnesty International, Derechos Digitales, European Digital Rights, Freedom of the Press Foundation, na mengi zaidi. Mashirika haya yameunganishwa na lengo la pamoja la kuhakikisha kuna intaneti inayozingatia maadili mema.

nembo ya cipit
Nembo ya Citizen Lab
Nembo ya Color of Change
Nembo ya Data&Society
Nembo ya Derechos
Nembo ya EDRi
Nembo ya Freedom of the Press
Nembo ya Privacy International