
Kukutana na Washirika
Orodha ya Tuzo za Mozilla
Tangu 2015, Mozilla imetoa zaidi ya dola milioni 20 kama fedha za tuzo kwa mashirika na watu binafsi katika nchi zaidi ya thelathini. Miradi iliyoorodheshwa katika Orodha ya Tuzo inawakilisha sehemu tu ya miradi inayoungwa mkono katika historia ya muda mrefu ya Mozilla kama wafadhili. Kwa habari zaidi kuhusu tuzo za awali, tafadhali wasiliana na[email protected]
Bonyeza hapa kuona miradi yote iliyotajwa au biringiza ili uweze kuona mifano mbalimbali za tuzo kwa washirika almaarufu Mozilla Awards: