Shirika la Mozilla linafanya kazi ili kuhakikisha kuwa mtandao unabaki kuwa rasilimali ya umma iliyo wazi na ambayo sisi sote tunaweza kuifikia.

Jifunze mambo mengi zaidi kuhusu kazi yetu

Nyanja zetu

01_empower-action-icon.jpg

Wananchi Walioungana

Masuala kama faragha, AI inayoaminika, na haki za kidijitali zinatuathiri sisi sote tunaotumia mtandao. Mozilla husaidia kutafsiri na kuwezesha mabadiliko yanayofaa.

02_connect-leaders.jpg

Kuunganisha Viongozi

Tunawaunga mkono wanaharakati na viongozi wenye mawazo katika kujenga mustakabali wa maisha yetu ya mtandaoni.

03_investigate-research.jpg

Tengeneza Ajenda

Tunachapisha utafiti unaoweza kushirikiwa na watu wote na tunakua wenyeji wa mikutano ya kimataifa ili kutoa mawazo kama vile AI ya kuaminika.

Kati ya makundi yote tunayoshirikiana nayo mara kwa mara, machache sana yameweza kuathirika kutokana na ushirikiano wetu wa miaka mingi na Mozilla…ni uhusiano ulioafikiana vyema.

Jenny Toomey

Shirika la Ford

Shirikiana nasi

Toa mchango kwa kufadhili, kuunda, na kuendeleza kazi ya Mozilla ya kuhakikisha mtandao mzuri ulio na faragha, uwazi na ushirikishwaji na uwezo wa akili bandia unaoaminika.

Tushirikiane